Joel 2:27

27 aNdipo mtakapojua kwamba mimi niko katika Israeli
kwamba mimi ndimi Bwana Mungu wenu,
na kwamba hakuna mwingine;
kamwe watu wangu hawataaibika tena.
Copyright information for SwhNEN